24 Sep 2025 10:48 am | Citizen TV 134 views Duration: 1:18 Baraza la magavana limeendelea kupinga utoaji wa zabuni au kandarasi kupitia mfumo wa mtandao wakisema mfumo huo umeharakishwa na utaathiri utendakazi wa serikali za kaunti