- 1,490 viewsDuration: 3:10Muungano wa hospitali za-RUPHA - unasema kuwa haujabadili msimamo kuhusu kuwanyima huduma wagonjwa wanaotegemea SHA na ambao hawawezi kulipa pesa taslimu kupata huduma hizo. Mwenyekiti wa muungano huo DKT. BRIAN LISHENGA anasema kuwa huduma hizo zitarejelewa punde tu SHA itakapolipa madeni ya mabilioni ya pesa inayodaiwa na hospitali hizo. Na kama anavyoarifu brenda wanga, haya ni huku sha ikifanya mkutano na wadau wengine kutafuta muafaka