Skip to main content
Skip to main content

Maafisa 11 wa polisi wanadaiwa kuhusika katika wizi wa kimabavu katika maeneo tofauti nchini

  • | Citizen TV
    2,283 views
    Duration: 1:50
    Maafisa 11 wa polisi wamekamatwa katika kipindi cha siku mbili kwa madai ya kuhusika wizi wa kimabavu katika maeneo tofauti nchini. Polisi wanawazuilia maafisa watatu wa DCI, Kiamumbi kaunti ya Kiambu na wengine wanane wanaodaiwa kuiba gari katika kituo cha polisi cha Maseno