24 Sep 2025 1:08 pm | Citizen TV 269 views Duration: 2:08 Familia na wakazi katika kaunti ya Trans Nzoia wanadai majibu baada ya kubainika kuwa kijana mmoja aliyekuwa akizuiliwa katika gereza la Kitale alifariki kutokana na damu kuganda.