Skip to main content
Skip to main content

Familia moja jijini Nakuru inadai haki baada ya mwana wao kuuwawa Marekani

  • | Citizen TV
    352 views
    Duration: 2:03
    Familia moja jijini nakuru imesalia na huzuni baada ya mwana wao kuuwawa kwa kupigwa risasi nchini marekani. Ripoti za maafisa wa usalama wa jimbo la indiana huko marekani zinaarifu kuwa bidan mburu alipigwa risasi kimakosa kufuatia mzozo kati ya watu wengine wawili.