Skip to main content
Skip to main content

Magavana wapinga mfumo wakisema utaathiri utendakazi wao

  • | Citizen TV
    246 views
    Duration: 1:15
    Baraza la magavana limeendelea kupinga utoaji wa zabuni au kandarasi kupitia mfumo wa mtandao wakisema mfumo huo umeharakishwa na utaathiri utendakazi wa serikali za kaunti