24 Sep 2025 1:36 pm | Citizen TV 852 views Duration: 2:11 Familia ya Simon Warui, aliyefariki akiwa korokoroni katika Kituo cha Polisi cha central mjini Mombasa, imepinga matokeo ya uchunguzi wa mwili wake. Familia hiyo ikidai kuna njama ya kufichwa kwa ukweli na maafisa wa polisi.