Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Kihoto kaunti ya Nakuru wanakabiliwa na hatari ya magonjwa kutokana na maji taka

  • | Citizen TV
    431 views
    Duration: 3:02
    .Wakazi wa eneo la Kihoto huko Naivasha kaunti ya Nakuru sasa wanakodolea hatari ya magonjwa na hata maafa kutokana na maji taka yaliyosababishwa na kufurika kwa ziwa naivasha. Wakazi zaidi ya 5,000 wamejipata katika mazingira duni huku maji yaliyochanganyika na maji taka kutoka vyooni yakitapakaa katika makazi yao na barabara zote. Na kama anavyoarifu athman said, wakazi hao wanalalamikia kutelekezwa na serikali licha ya kuishi katika mazingira hayo kwa muda