- 208 viewsDuration: 3:08Wakulima elfu kumi na tano wa maembe kaunti ya Makueni wamenufaika na mitego ya kuwasaidia kukabiliana na wadudu waharibifu wa maembe. Mpango huo unalenga kuwasaidia wakulima kuboresha kilimo cha Maembe kaunti hiyo na kuweza kutafuta soko la mazao yao nje ya nchi.