24 Sep 2025 1:45 pm | Citizen TV 231 views Duration: 1:24 Kaunti ya Elgeyo Marakwet inakabiliwa na changamoto kubwa ya mimba za utotoni, hali ambayo inaarifiwa kuchangiwa na kiwango cha juu cha umaskini pamoja na ukosefu wa sodo kwa wasichana.