24 Sep 2025 1:49 pm | Citizen TV 211 views Duration: 2:13 Serikali na jamii kwa ujumla zimetakiwa kuunga mkono maswala yanayohusu vijana hasa wale wanaoishi nyanjani ili waweze kujitegemea katika maisha ya baadaye.