Skip to main content
Skip to main content

Polisi wachunguza kifo cha Zaituni Kavaya

  • | Citizen TV
    7,250 views
    Duration: 3:04
    Polisi Nairobi wanasema bado wanachunguza kifo tata cha mwanamke mmoja katika jumba moja alikokuwa akifanya kazi mtaani Kilimani. Zaituni Kavaya aliaga baada ya kuanguka kutoka kwenye jumba moja alikokuwa akifanya kazi, ambako leo jamaa zake na chama cha wafanyakazi wa nyumbani wameandamana kudai haki. Kanda ya kipekee ya video imeonyesha yaliyojiri kabla ya kifo cha mama huyu