Kinara wa Azimio Raila Odinga aitaja serikali ya Kenya Kwanza kama kero kwa wakenya

  • | K24 Video
    509 views

    Kinara wa Azimio Raila Odinga ameitaja serikali ya Kenya Kwanza kama kero kwa wakenya. Katika ujumbe wake wa mwaka mpya kwa wakenya, Odinga ameahidi kuendelea kupigania wakenya gharama ya maisha inapozidi kupanda na hali ya elimu kudorora chini ya uongozi wa rais William Ruto. Odinga anawataka wakenya na mashirika za kiraia waweke tofauti zao na kujitayarisha kwa mapambano mapya ya ukombozi.