Watu saba wafariki katika ajali barabarani iliyotokea eneo la Eveready kaunti ya Nakuru

  • | K24 Video
    112 views

    Watu saba wamefariki mapema hii leo katika ajali barabarani iliyotokea eneo la Eveready kaunti ya Nakuru. Ajali hiyo ilihusisha matatu na trela ya masafa marefu iliyokuwa inasafirisha mahindi. manusura 19 kwa sasa wanaendelea kupokea matibabu katika hospitali ya rufaa ya Nakuru. Huku uchunguzi ukiendelea, inasemeana breki za trela hiyo iliyokuwa katika mwendo wa kasi zilifeli na kugonga matatu hiyo ya Ngata SACCO.