Skip to main content
Skip to main content

Murkomen aagiza hatua dhidi ya vijana walioikejeli bendera ya Kenya

  • | Citizen TV
    17,020 views
    Duration: 2:46
    Waziri wa Usalama Kipchumba MURKOMEN amemuamuru inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja kuwachukulia hatua watu waliokejeli bendera ya taifa wikendi iliyopita. Inspekta Mkuu wa Polisi Douglas Kanja akisema tayari watu waliohusika wanasakwa na Polisi, huku Ubalozi wa Somalia nchini Kenya ukiripotiwa kuomba msamaha kutokana na tukio hilo.