- 393 viewsDuration: 1:15Timu ya taifa ya kandanda ya wanawake chini ya miaka 20, imeimarisha mazoezi yao katika uwanja wa ulinzi sports complex wakati wakijiandaa kumenyana na ethiopia katika mkondo wa marudiano wa mechi za kufuzu kwa kombe la dunia la chini ya miaka 20 Jumapili katika uwanja huo huo.