Maafisa wa polisi wanamzuilia mwanamke mmoja kwa madai ya mauaji kwenye kituo cha Industrial Area

  • | K24 Video
    105 views

    Maafisa wa polisi kituoni industrial area wanamzuilia mwanamke mmoja kwa madai ya mauaji. Yadaiwa mshukiwa ann mwikali alimdunga mumewe kisu kufuani na kumuua. Uchunguzi wa maiti wa mwendazake uliofanyika leo katika hifadhi ya citi umebaini mwendazake aliuawa kwa kudungwa kisu kifuani.