Iran: Waliojeruhiwa wakipatiwa matibabu, milipuko miwili yaua zaidi ya 100
Shirika la Mwezi Mwekundu la Iran limebandika video katika mtandao wake wa kijamii wa X Jumatano (Januari 3), ukionyesha watu waliojeruhiwa wakipatiwa matibabu kufuatia milipuko miwili iliyouwa zaidi ya watu 100 huko Kerman.
Kikundi cha watu waloijeruhiwa katika milipuko hiyo kwenye sherehe ya kuadhimisha mwaka wa tatu wa mauaji ya kamanda wa ngazi ya juu Qassem Soleimani kufuatia shambulizi la droni ya Marekani nchini Iraq.
Televisheni ya serikali ya Iran iliripoti mlipuko wa kwanza na wapili wakati mkusanyiko mkubwa wa watu waliokuwa wanahudhuria kumbukumbu hiyo ambapo Soleimani amezikwa kusini mashariki wa mji wa Kerman.
Afisa aliyekuwa hajatajwa jina lake aliliambia shirika la habari la serikali IRNA “ Vilipuzi viwili viliwekwa pembeni ya barabara inayoelekea kwenye Makaburi ya Mashahidi ya Kerman na kulipuliwa na magaidi kwa kutumia kifaa cha kulipua mbali na eneo hilo. - Reuters
#Haifa #iran #kerman #shambulizi #vilipuzi #kigaidi
#Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #GadiEizenkot #wazirimkuu
15 Aug 2025
- This is after over 31 MCAs voted for his ouster.
15 Aug 2025
- The lecturers were scheduled to down their tools beginning August 20, 2025.
15 Aug 2025
- Several Kenyans have in the past complained of downtime.
16 Aug 2025
- US President Donald Trump and Russian counterpart Vladimir Putin will meet on Friday in Alaska in a high-risk summit that could prove decisive for the future of Ukraine.
16 Aug 2025
- The Nairobi Hospital has announced the suspension of its recent price adjustments following consultations with key insurance partners, who had initially withdrawn their services, leaving patients stranded.
16 Aug 2025
- Homicide detectives on Friday returned to Kwa Binzaro in preparation for the planned exhumation of eight graves that had been discovered late last month.
15 Aug 2025
- Kericho Governor Erick Mutai has been impeached. The embattled Governor was ousted after putting up a spirited defense throughout the day before the County Assembly.
15 Aug 2025
- A group of youth from Jacaranda in Embakasi who attended last Saturday’s State House empowerment event claim they never received the promised motorbikes and other items.
15 Aug 2025
- Nairobi Senator Edwin Sifuna has challenged President William Ruto to name those he accused of soliciting money from Cabinet Secretaries and Governors, citing that such remarks require proof.
15 Aug 2025
- Kajiado is marked as one of the counties where maternal and sexual reproductive health violations and obstetric violence cases are rampant.
15 Aug 2025
- The DP on Friday graced Tiaty Economic Empowerment engagement at Chemolingot town in the constituency where he avowed the rolling out of key projects geared at improving the lives of the residents.
15 Aug 2025
- Charity Nyambura, recently single, does not do butterflies
15 Aug 2025
- Videos seen by the Star showed members physically restraining one another while others exchanged harsh words