Zoezi la kuwaondoa wakaazi kuwapeleka eneo salama laendelea katika mji wa Arques
Waokoaji wakiwaondoa baadhi ya wakazi wa miji iliyoko kaskazini mwa eneo la mkoa wa Pas de Calais Jumatano (Januari 3) wakati maji ya mafuriko yalipojaa mitaani na majumbani baada ya siku kadhaa za mvua kubwa zilizo sababisha mito kadhaa kufurika.
Anthony Richevin na familia yake walikuwa kati ya wakaazi kadhaa walioondolewa kutoka mji wa Arques. Alisema nyumba zao zilizama sentimita 50 ndani ya mafuriko, na kuzifanya zisiweze kukaliwa kwa wakati huu.
“Mara ya kwanza (mafuriko yalipotokea), nilidhania ilikuwa tu bahati mbaya. Lakini hivi sasa, kutokea hili mara ya pili, inaanza kutupa maumivu, iwe kwa hali ya kuwa na morali au hali ya bajeti yetu. Tunajiuliza vipi tutaweza kuvuka hili,” alisema Richevin.
Hili ni tukio la pili la mafuriko katika mkoa wa Pas-de-Calais katika kipindi cha miezi mitatu. Mwezi Novemba, wakazi wengi wa Arques walishuhudia wiki tatu za mafuriko yaliyoharibu nyumba zao na mashamba yao. Kwa mujibu wa Idara ya Utabiri wa Hali ya Hewa ya Ufaransa mkoa huo utaendelea kushuhudia mvua zinazo nyesha mfululizo mpaka siku ya Ijumaa (January 5). - Reuters
#mafuriko #Uingereza #dhoruba #henk #mvua #upepo #southernengland #wales #voa #voaswahili #ufaransa #mkoa #pasdecalais #arques #wakaazi
13 Aug 2025
- Wamuchomba took a tough stance while grilling CS Murkomen, resulting in dramatic scenes in Parliament.
13 Aug 2025
- The DP made the announcement at his home in Irunduni.
13 Aug 2025
- The judge ruled on the matter on Wednesday.
14 Aug 2025
- In some cases, loans were disbursed before approval, a red flag for possible embezzlement
14 Aug 2025
- There are up to 400k slots a year but contested globally, Sebastian Groth says
14 Aug 2025
- At least 22 migrants died after two boats overturned in the Mediterranean on Wednesday, with more still missing and some 60 survivors, humanitarian agencies said.
14 Aug 2025
- The summit between US President Donald Trump and his Russian counterpart Vladimir Putin will be held at Joint Base Elmendorf-Richardson in Alaska, a White House official said Wednesday.
14 Aug 2025
- South Africa's unemployment rate rose for the second quarter in a row, official data showed on Tuesday, highlighting one of the biggest challenges faced by the country's year-old coalition government.
14 Aug 2025
- Only Ukrainian President Volodymyr Zelensky can negotiate a land deal with Russia in an effort to end Moscow's war against his country, French President Emmanuel Macron said on Wednesday.
14 Aug 2025
- Chief Inspector Mary Umazi has complained about challenges in daily policing activities, including interference from powerful politicians and government officials.
14 Aug 2025
- Workers at the Kenya Pipeline Company (KPC) are demanding job security assurances as the government moves to sell a majority stake in the State corporation.
14 Aug 2025
- Bulk buyers: What the property market misses in turnaround plan
14 Aug 2025
- KCB shareholders set for record Sh13b dividend boom on half-year profit jump