25 Sep 2025 1:39 pm | Citizen TV 242 views Duration: 1:26 Baraza na makanisa nchini NCCK ukanda wa Mashariki mwa Kenya limewataka vijana kujisajili kwa wingi kuwa wapiga kura ili kuleta mabadiliko wanayoyataka.