25 Sep 2025 1:48 pm | Citizen TV 137 views Duration: 1:13 Serikali kupitia wizara ya elimu imeombwa kuhakikisha mgao wa fedha za kufadhili masomo shuleni unatolewa kwa wakati, ili kuwawezesha walimu kutekeleza mipango na miradi ya shule ipasavyo.