- 1,500 viewsDuration: 2:31Serikali kwa mara nyingine imejitetea kufuatia kuendelea kujikokota kwa ujenzi wa bwawa la Thwake ,ndoto ya wakwazi wa eneo la ukambani kupata maji karibuni ikiendelea kudidimia. Aidha Waziri wa maji Eric Mugaa amewataka wakazi wa eneo la ukambani kuwa wavumilivu