25 Sep 2025 2:07 pm | Citizen TV 350 views Duration: 2:01 Idara ya vyuo vya kiufundi imeanza juhudi za kuhamasisha vijana wanaotunza mazingira katika kaunti ya Kwale kujiunga na vyuo hivyo na kufanya kozi za ubaharia na za uchumi wa baharini.