- 15,681 viewsDuration: 3:19Katika siku za hivi majuzi, gavana wa Trans Nzoia George Natembeya ameonekana kusogea nje ya mipaka ya siasa za kaunti yake, akipokea wajumbe wa kisiasa kutoka maeneo mbalimbali na pia kuzuru kaunti zingine akitafuta uungwaji mkono. Swali kuu kwa sasa ni: Je, hii ni dalili kwamba huenda asitetee kiti chake cha ugavana 2027 na mishale yake sasa imelenga moja kwa moja ikulu?