Skip to main content
Skip to main content

Makanisa yataka serikali kusuluhisha mizozo ya wakenya

  • | Citizen TV
    1,346 views
    Duration: 2:52
    Kanisa la kianglikana nchini sasa linaitaka serikali kushughulikia kwa dharura mvutano unaoikumba bima ya afya ya sha pamoja na msukosuko katika sekta ya elimu. Makanisa yakiilaumu serikali kwa kucheza karata na maswala muhimu yanayowahusu wakenya. Makanisa yakizungumza haya huku huduma za matibabu kupitia sha zikitatizika hospitali za kibinafsi huku wahadhiri wakiendelea na mgomo kwa wiki ya pili.