Skip to main content
Skip to main content

Wakenya walia na gharama, wakosa imani kwa uongozi

  • | Citizen TV
    346 views
    Duration: 2:00
    Haya yalipokuwa yakijiri, asilimia hamsini na saba ya wakenya wanasema kuwa taifa linaelekea pabaya huku asilimia kumi na saba wakiridhishwa na mwelekeo wa taifa. Haya ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na kampuni ya utafiti ya infotrak unaosema kuwa wakenya wengi wanalalamikia gharama ya juu ya maisha, na ukosefu wa ajira unaosababishwa na utawala mbaya.