Skip to main content
Skip to main content

IEBC yalaani vurugu za mchujo, yaweka mikakati ya usajili

  • | Citizen TV
    902 views
    Duration: 2:55
    Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na mipaka iebc erastus ethekon amekashifu vurugu zilizoshuhudiwa hapo jana katika uchaguzi wa mchujo wa chama cha odm katika eneo bunge la kasipul, akiwataka wakenya kudumisha amani wakati wa kura hizo. Akizungumza alipofika mbele ya kamati ya bunge ya kutekeleza katiba, ethekon pia alisema tume hiyo imeweka mikakati kuwasajili vijana zaidi ya milioni 4 kushiriki uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027.