- 1,094 viewsDuration: 3:03Kwa mara nyingine hofu imetanda miongoni mwa wenyeji wa Imbolot eneo la Transmara kuhusu na mzozo wa shamba eneo hilo. Hii ni baada ya malori ya maafisa wa usalama kufika eneo hilo kusimamia zoezi la kuhamishwa kwa wakaazi. Shamba hilo la zaidi ya ekari 400 linalopakana na mbuga ya wanyama ya Mara limekuwa likizozaniwa na wenyeji na wafanyabiashara wanaosema kipande hicho cha ardhi ni chao.