Skip to main content
Skip to main content

Kesi ya Rex Masai: Polisi wakataa kuwasilisha sajili ya silaha

  • | Citizen TV
    1,508 views
    Duration: 2:38
    Idara ya polisi sasa inataka mahakama inayosikiliza kesi ya mauaji ya rex masai kubatilisha uamuzi ulioagiza kuwasilishwa kwa sajili ya kutoa silaha na kunakiliwa kama ushahidi. Kupitia mawakili wake, idara ya polisi inasema uamuzi huo ulikuwa kinyume na sheria na ulikiuka maagizo ya kutoa taarifa kuhusu vifaa vya kiusalama.