26 Sep 2025 10:16 am | Citizen TV 1,974 views Duration: 1:54 Familia moja kutoka kijiji cha usonga mpakani mwa kaunti ya busia na siaya imesalia kwenye njia panda baada ya mawasiliano na mwana wao christabel atieno aliye nchini saudi arabia kukatika kwa muda wa miezi sita sasa.