Skip to main content
Skip to main content

Kamati ya bunge yaendelea kuchunguza uuzaji wa hisa

  • | Citizen TV
    156 views
    Duration: 1:16
    Kamati ya bunge kuhusu biashara, viwanda na mashirika inaendelea kudadisi suala la uuzaji wa hisa za kampuni ya simiti ya East Africa Portland's . Upande wa serikali ulikuwa na wakati mgunu wa kueleza ni vipi washikadau waliafikia uamuzi wa kuuzia kampuni ya saruji ya Kalahari hisa za Portland