- 2,275 viewsDuration: 2:54Malefu ya wafuasi wa chama cha ODM wameanza kumiminika katika uga wa Gusii mapema leo kuadhimisha miaka 20 ya chama hicho cha Chungwa ukanda wa Nyanza na Magharibi mwa Kenya. Kiongozi wa Chama hicho Raila Odinga anatarajiwa kuongoza hafla hiyo mjini Kisii.