26 Sep 2025 10:46 am | Citizen TV 138 views Duration: 1:21 Wito umetolewa kwa kina mama huko Sabaki eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi kushirikiana na kujiunga na mashirika ya akiba na mikopo ili waweze kujiendeleza kimaisha.