Skip to main content
Skip to main content

Wachuuzi walalamika Maralal kaunti ya Samburu

  • | Citizen TV
    187 views
    Duration: 3:15
    Wafanyabiashara mjini Maralal wamelalamikia ushuru wa juu wa biashara katika Uga wa Yare kunakoandaliwa mashindano ya kimataifa ya Ngamia . Wafanyabiashara hao waliolalamikia kubanwa na uchumi wanataka kuondolewa Kwa matozo hayo ili kupata afueni. .