Skip to main content
Skip to main content

Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen asema familia ya Kabiru imejulishwa kuhusu kifo chake

  • | Citizen TV
    2,483 views
    Duration: 2:32
    Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen sasa anasema kuwa familia ya afisa aliyeuwawa nchini Haiti imejulishwa kuhusu kifo cha jamaa yao, na kuwa mtafaruku wa taarifa za kifo chake zilizotolewa na Rais William Ruto ulitokana na tofauti ya muda. Haya yanajiri baada ya familia ya afisa huyo Benedict Kabiru kudai kuwa serikali haikuwa imewafahamisha kuhusu kifo cheke.