- 276 viewsDuration: 2:04Haya yalipokuwa yakijiri, asilimia hamsini na saba ya wakenya wanasema kuwa taifa linaelekea pabaya huku asilimia kumi na saba wakiridhishwa na mwelekeo wa taifa. Haya ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na kampuni ya utafiti ya Infotrak unaosema kuwa wakenya wengi wanalalamikia gharama ya juu ya maisha, na ukosefu wa ajira unaosababishwa na utawala mbaya.