- 391 viewsKambi mbalimbali za muda zinazo wahifadhi Wapalestina waliokoseshwa makazi zimefunguliwa huko Rafah karibu na mpaka wa Misri, eneo la kusini mwa Ukanda wa Gaza, huku vita ikiendelea kati ya Israel na kikundi cha wanamgambo wa Kipalestina, Hamas. Wakazi wa Gaza walijificha Jumatatu kuepuka mashambulizi ya nguvu ya mabomu na bunduki katika mji wa Khan Yunis, huku shinikizo likiongezeka kwa Israel kuwa hatimaye kuwe na suluhisho la mataifa mawili jambo ambalo limekuwa ni matakwa ya Wapalestina. Walioshuhudia wameripoti mashambulizi hatari na mapigano makali kati ya wanajeshi wa Israeli na wanamgambo wa Hamas yaliyoendelea usiku kucha kusini mwa mji huo ambao ni chimbuko la vita vya hivi karibuni. Wizara ya afya katika eneo linalodhibitiwa na Hamas iliripoti Jumatatu kuwa zaidi ya watu 120 waliuawa katika kipindi cha saa 24. Shambulizi lililofanywa na Hamas Oktoba 7 kwa kuvuka Gaza na kuingia kusini mwa Israel lilisababisha vita na waliwauwa kiasi cha watu 1,200. Mashambulizi ya Israel ya angani, ardhini na baharini huko Gaza yameuwa zaidi ya Watu 25,295, wengi wao ni wanawake na watoto, kulingana na Wizara ya Afya katika eneo la Gaza linalosimamiwa na Hamas. Idadi hiyo haitofautishi kati ya raia na wanamgambo. - AP #Haifa #waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #shirikalamwezimwekundu #Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #mwandishi #aljazeera #maghazi #khanyounis
Mji wa Rafah umegeuka kuwa kambi ya Wapalestina waliokimbia makazi yao
- 14 Aug 2025 - At least 22 migrants died after two boats overturned in the Mediterranean on Wednesday, with more still missing and some 60 survivors, humanitarian agencies said.
- 14 Aug 2025 - The summit between US President Donald Trump and his Russian counterpart Vladimir Putin will be held at Joint Base Elmendorf-Richardson in Alaska, a White House official said Wednesday.
- 14 Aug 2025 - Only Ukrainian President Volodymyr Zelensky can negotiate a land deal with Russia in an effort to end Moscow's war against his country, French President Emmanuel Macron said on Wednesday.
- 14 Aug 2025 - South Africa's unemployment rate rose for the second quarter in a row, official data showed on Tuesday, highlighting one of the biggest challenges faced by the country's year-old coalition government.
- 14 Aug 2025 - Workers at the Kenya Pipeline Company (KPC) are demanding job security assurances as the government moves to sell a majority stake in the State corporation.
- 14 Aug 2025 - "Parliament must be called out. Something is going on in our Legislature that we must address. Money is being demanded from the Executive, governors, and ministers—especially those who appear before parliamentary committees for accountability,” said…
- 14 Aug 2025 - The Kenya National Commission on Human Rights (KNCHR) wants victims of protests and demonstrations to receive more than just monetary compensation.
- 14 Aug 2025 - KCB shareholders set for record Sh13b dividend boom on half-year profit jump
- 14 Aug 2025 - IG sued over police payroll, officers' role during protests
- 14 Aug 2025 - Sudan moves to unlock disputed key trade corridor with Kenya