- 220 viewsWapalestina walikusanyika katika eneo ambalo Israeli ilifanya mashambulizi ya anga huko Rafah, kusini mwa Gaza, Jumatano (Januari 24), na kusaidiana kuichomoa miili kadhaa iliyokuwa ndani ya kifusi. Eneo hilo, ambalo liko mpakani na Misri, limefurika zaidi ya nusu ya watu milioni 2.3 wa Ukanda wa Gaza, waliokoseshwa makazi kutokana na mapigano yanayoendelea kati ya majeshi ya Israeli na Hamas. “Wapi ni sehemu salama? Hakuna sehemu salama, hakuna chakula na hakuna pakujificha,” alisema mmoja wa wale waliokoseshwa makazi katika eneo la tukio, Um Khaled Baker. Mabomu yaliyofyatuliwa na vifaru yalipiga kituo cha mafunzo cha Umoja wa Mataifa kilichokuwa kimewahifadhi maelfu ya watu waliokoseshwa makazi huko Khan Younis Jumatano, na kuua watu wasiopungua tisa na kujeruhi 75, afisa mwandamizi wa misaada wa UN alisema, wakati majeshi ya Israeli yakielekea mbele zaidi kusini mwa mji wa Gaza, huku watu wengi zaidi wakilazimika kukimbilia Rafah. Shambulizi lililofanywa na Hamas Oktoba 7 kwa kuvuka Gaza na kuingia kusini mwa Israel lilisababisha vita na waliwauwa kiasi cha watu 1,200. Maafisa wa afya wa Palestina walisema watu wasiopungua 25,700 wakazi wa Gaza wameuawa katika vita hivyo, ikiwemo 210 waliofariki katika saa 24 zilizopita, huku maelfu wakihofiwa kuwa wamefukiwa ndani ya kifusi. - Reuters #Haifa #waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #shirikalamwezimwekundu #Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #mwandishi #aljazeera #maghazi #khanyounis
Watu waichomoa miili iliyokwama katika kifusi Rafah
- 14 Aug 2025 - At least 22 migrants died after two boats overturned in the Mediterranean on Wednesday, with more still missing and some 60 survivors, humanitarian agencies said.
- 14 Aug 2025 - The summit between US President Donald Trump and his Russian counterpart Vladimir Putin will be held at Joint Base Elmendorf-Richardson in Alaska, a White House official said Wednesday.
- 14 Aug 2025 - Only Ukrainian President Volodymyr Zelensky can negotiate a land deal with Russia in an effort to end Moscow's war against his country, French President Emmanuel Macron said on Wednesday.
- 14 Aug 2025 - South Africa's unemployment rate rose for the second quarter in a row, official data showed on Tuesday, highlighting one of the biggest challenges faced by the country's year-old coalition government.
- 14 Aug 2025 - Workers at the Kenya Pipeline Company (KPC) are demanding job security assurances as the government moves to sell a majority stake in the State corporation.
- 14 Aug 2025 - "Parliament must be called out. Something is going on in our Legislature that we must address. Money is being demanded from the Executive, governors, and ministers—especially those who appear before parliamentary committees for accountability,” said…
- 14 Aug 2025 - The Kenya National Commission on Human Rights (KNCHR) wants victims of protests and demonstrations to receive more than just monetary compensation.
- 14 Aug 2025 - Housing to remain key at World Urban Forum
- 14 Aug 2025 - Bulk buyers: What the property market misses in turnaround plan
- 14 Aug 2025 - KCB shareholders set for record Sh13b dividend boom on half-year profit jump