Hatima ya Jackie Maribe na Jowie Irungu kujulikana Machi 15

  • | K24 Video
    464 views

    Hukumu ya kesi ya mauaji ya mfanyibiashara Monica Kimani inayowakabili Joseph Irungu maarufu Jowie na aliyekuwa mtangazaji Jackie Maribe, imeahirishwa hadi tarehe 15 machi mwaka huu kufuatia kuugua kwa mwanahabari huyo. Katika maelezo yake jaji Grace Nzioka amesema ni sharti watuhumiwa wote wawe mahakamani ndiposa uamuzi utolewe.