Polisi wanachunguza mauaji ya mama aliyeuawa Kikatili na mwili kutupwa kichakani Mukurweini, Nyeri

  • | K24 Video
    2,919 views

    Maafisa wa polisi huko Mukurweini kaunti ya Nyeri wameanzisha uchunguzi baada ya mwili wa mwanamke kutambuliwa kichakani akiwa ameuawa katika njia ya kutatanisha. Kwa mujibu wa familia ya wendazake, Nancy Muthoni aliondoka nyumbani kwenda dukani katika kijiji cha Kiharu lakini hakurejea