Maandamano dhidi ya mauaji ya wanawake nchini

  • | K24 Video
    107 views

    Kujikokota kwa kesi za mauaji dhidi ya wanawake, na ukosefu wa raslimali za kutosha mahakamani, kumetajwa kama vizingiti vikuu dhidi ya vita vya mauaji ya wanawake nchini. Hayo yameibuliwa leo katika maandamano dhidi ya mauaji hayo yaliofanyika jijini Nairobi na kaunti mbalimbali. Kati ya mwaka 2016 na 2024 kumeripotiwa visa 500 huku 16 vikiripotiwa mwezi wa Januari mwaka huu…