Familia yalilia haki baada ya mtoto wao Emmanuel Kirima kuaga dunia kwa njia tatanishi akiwa shuluni

  • | Citizen TV
    5,038 views

    Mwanafunzi Afariki Shuleni Familia Ya Emmanuel Kirima Yataka Majibu Kwa Shule Kirima Alifariki Siku 10 Baada Ya Kuripoti Shuleni Alikuwa Mwanafunzi Wa Shule Ya Upili Ya Kilungu Jamaa Wadai Kupigiwa Simu Kuwa Alikuwa Ameugua