Kutana na mwanahabari mashuhuri aliyebobeba katika tasnia ya uanahabari, Willy Mwangi

  • | KBC Video
    67 views

    Historia ya usomaji wa habari na ustawi wa vyombo vya habari nchini haiwezi kuandikwa bila kutajwa na kujumuishwa kwa mwanahabari mashuhuri Willy Mwangi. Msomaji huyo stadi wa habari alitawala anga za usomaji wa habari kwa karibu miongo mitatu na alitekeleza jukumu muhimu katika vituo mbalimbali vya habari humu nchini na nje ya taifa hili. Mwanahabari wetu Gichuki Wachira aliandamana na wanachama wa bodi ya wakurugenzi wa shirika la utangazaji nchini KBC kumzuru mwanahabari huyo mkongwe na kusherehekea mafanikio katika tasnia ya uanahabari.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive