Serikali haitazingatia siasa katika usambazaji wa raslimali, asema mbunge Ndindi Nyoro

  • | KBC Video
    117 views

    Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro amesisitiza kwamba serikali haizingatii na itaendelea kutozingatia siasa katika usambazaji wa raslimali hapa nchini. Akiongea wakati wa hafla ya kuchangisha pesa za kusaidia kanisa huko Nyakach katika kaunti ya Kisumu, mbunge huyo ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya bunge kuhusu bajeti na ugavi wa mapato, alisema kilimo na elimu vitaendelea kupewa kipa umbele katika serikali ya Kenya Kwanza.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive