Mwanafunzi wa shule ya upili ya Kilingu afariki kwa njia ya kutatanisha

  • | KBC Video
    42 views

    Familia moja huko Kitengela, katika kaunti ya Kajiado inatafuta haki kufuatia kifo cha kutatanisha cha mpendwa wao. Emmanuel Kirimi ambaye alikuwa mwanafunzi katika shule ya upili ya wavulana ya Kilingu katika kaunti ya Makueni alifariki tarehe 25 kwa njia ya kutatanisha. Kulingana na baba yake Joshua Kaimenyi, mwanawe hana historia ya maradhi yoyote na alikuwa buheri wa afya alipojiunga na kidato cha kwanza tarehe 15 mwezi huu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive