Katibu Wachira apongeza uamuzi wa kubatilisha arifa kuhusu mpango wa kitaifa wa usambazaji umeme

  • | KBC Video
    133 views

    Katibu katika wizara ya kawi Alex Wachira amepongeza uamuzi wa kubatilisha arifa ya gazeti rasmi la serikali kuhusu mpango jumuishi wa kitaifa wa usambazaji umeme ili kutoa fursa ya kuandaliwa mazungumuzo zaidi kati ya ngazi mbili za serikali.Kulingana na arifa hiyo,serikali za kaunti zilikuwa zimetwikwa jukumu la kupanga na kujenga mifumo ya usambazaji umeme,serikali ya kitaifa nayo ikijukumiwa kuratibu na kutathmin sera kuhusu utekelezaji mifumo hiyo,ikiwa ni pamoja na usambazaji gesi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive