Baadhi ya wanawake katika eneobunge la Limuru waliandamana kulalamikia uuzaji wa pombe haramu

  • | KBC Video
    34 views

    Baadhi ya wanawake katika kijiji cha Thigio, eneo bunge la Limuru waliandamana kulalamikia ongezeko la uuzaji na utumizi wa pombe haramu na mihadarati katika eneo hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News