Serikali na bunge zakosolewa kwa jaribio la kuingilia uhuru wa mahakama

  • | KBC Video
    45 views

    Kongamano la mashirika ya kidini la Ufungamano limeishtumu serikali na bunge kwa kile limetaja kuwa jaribio la kuingilia uhuru wa mahakama. Wakiwahutubia wanahabari jijini Nairobi, wajumbe wa kongamano hilo walionyo kuwa upuuzaji maagizo ya mahakama unaweza kusababisha machafuko nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive