Kilimo Biashara | Utumizi wa mbolea hai umevutia umaarufu mkubwa

  • | Citizen TV
    317 views

    Kilimo cha mimea nchini kimeendelea kukumbwa na mitihani hasa kutokana na kubadilika haraka kwa bei za mbolea za kemikali kutoka dukani. Ni kutokana na hali hii ambapo wakulima sasa wanageukia matumizi ya mbolea hai ili kupunguza gharama ya uzalishaji. Katika makala ya Kilimo Biashara wakulima kutoka kaunti ya Machakos wamevalia njuga matumizi ya aina hii ya mbolea kutumia samaki