Bunge la kitaifa lapinga uamuzi wa mahakama ya rufaa kuhusu nyumba

  • | Citizen TV
    2,827 views

    Bunge la kitaifa limewasilisha ombi kwa mahakama ya upeo ya kupinga uamuzi wa mahakama ya rufaa kudinda kuipa serikali ruhusa ya kuendelea kutoza ada ya nyumba wakisema hatua hiyo haikuwafurahisha